Nashukuru kwa kutembelea tovuti ya Tanzania Global Prayer Movement (TGPM). Hapa chini utaona links za tamko rasmi la kiroho kuhusiana na COVID-19 nchini Tanzania. Ujumbe huu ni maono na maagizo ya Roho Mtakatifu pamoja na maelekezo kwa Watanzania Wakristo duniani kote kuhusiana na hali ya virusi vya corona, COVID-19 nchini Tanzania.